KUFUATIA maoni ya wadau baada ya kijana Hamis ambaye alikuwa mshiriki wa shindano la kusaka vipaji, Bongo Star Search (BSS) kuemguliwa katika shindano hilo baadaye kurejeshwa tena, Global TV Online imemtafuta kijana huyo ambaye amefunguka alivyoshawishiwa na marafiki zake kuchukua namba ya ushiriki wa shindano hilo ilihali yeye alikuwa hajajiandaa kabisa kushiriki.
22 Novemba 2019
Hamis: “Sikupanga Kushiriki BSS, Nilikwenda Kutazama”