NEWS

9 Novemba 2019

Video: Shoo Ya Alikiba Yafunika, Mashabiki Washindwa Kujizuia

MSANII wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2019 amefanya ‘After Party’ katika ukumbi wa Elements Masaki jijini Dar kutambulisha ziara aliyoiita ‘Unforgatable’ itakayofanyika nchini nzima.

The post Video: Shoo Ya Alikiba Yafunika, Mashabiki Washindwa Kujizuia appeared first on Global Publishers.