Kwa muda sasa mitandaoni wanadai Zari na jamaa huyo wa S.Afrika kwa jina la Cedric(29) ni wapenzi ingawa wahusika wamepiga kimya - Cedric ni muigizaji na mfanyabiashara wa S.Afrika ambaye ni baba wa mtoto mmoja.