NEWS

1 Februari 2020

Burna Boy Akutana na Angelique Kidjo Aliyempiga Chini Tuzo za Grammy

Siku 5 baada ya kumalizika tuzo za Grammy, Burna Boy pamoja na Mama yake mzazi wamekutana na Angelique Kidjo ambaye alikuwa mshindi wa kipengele ambacho wengi walimtabiria Burna kushinda. Ila bahati haikuwa kwake
.
But sina uhakika sana kama angelina kidjo alistahiki ile tuzo kwa mwaka 2019/2020 maana wengi wetu wamemjua angerlina kupitia zile tuzo. Kwa maana hakua na kiwango kikubwa cha mziki cha kumshinda burna boy,
.
Na ndio maana hata yy angerlina baada ya kulitambua jambo hilo akaamua kui dedicate ile tuzo kwa burna boy maana hata yy angerlina alijua kabsa kwamba alie deseeve ile tuzo ni burna na yy ilidondoka kwake km bahati mbaya.