NEWS

2 Februari 2020

Rais Magufuli Na Mkewe Janeth Magufuli Wameshiriki Misa Takatifu Dominika Ya 04 Mwaka “A” Katika Kanisa Katoliki La Mtakatifu Petro Parokia Ya Oysterbay Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na mkewe Janeth Magufuli ya kuwapongeza viongozi wapya wa halmashauri ya Walei ngazi ya parokia kwa kuchaguliwa wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.