NEWS

5 Aprili 2020

PAUL Makonda "Tukijifungia Ndani Tutakufa na Njaa"


Wanashindwa kutoka kwenda kufanya kazi, wanasubiri ugonjwa unaoitwa corona. Ugonjwa wenyewe ni virusi, wataalam wanasema hausambai kwa njia ya hewa, lakini tumeambiwa tukae ndani tujifungie kwa sababu nje kuna corona, tutakufa na njaa.” - Paul Makonda.