NEWS

6 Aprili 2020

Wachekeshaji Maarufu Nchini.. KIWEWE na MATUMAINI Wafunga Ndoa...

Wachekeshaji maarufu nchini.. KIWEWE NA MATUMAINI Hatimaye wamefunga Ndoa... Comment neno la *HONGERA kuwapongeza

Baadhi ya Comments kutoka kwa Wadau:

theresiasiafu: Siamini. Labda ni sehemu pia ya kazi yao

idditrust: Kumbe walikuwa wanakulana

khart.official: Mbna kama movie walivokaa