NEWS

25 Septemba 2020

Rais wa Kenya ataka mataifa yenye nguvu kusaidia nchi zinazoendelea



Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ayataka mataifa yenye nguvu duniani kuzisaidia nchi zinazoendelea na pia kuangalia upya madeni yao na kuwaongezea muda wa kulipa