NEWS

2 Novemba 2020

Tundu Lissu Akamatwa na Polisi


Aliyekuwa Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amekamatwa na Polisi. Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam wamethibitisha kumshikilia


Akiongea na JamiiForums, Tundu Lissu amesema amekamatwa akiwa Umoja House Jioni ya leo na sasa anafanyiwa mahojiano katika Kituo Kikuu cha Polisi