NEWS

2 Novemba 2020

Wanaoutaka Uspika au Unaibu Spika watakiwa kutuma maombi CCM


 Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya.

Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba na kesho Novemba 3