NEWS

30 Machi 2021

BREAKING: Rais Samia Ampendekeza Dkt. Phillip Mpango Kuwa Makamu wa Rais

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dkt. Phillip Mpango kuwa Makamu wake wa Rais. Mpambe wa Rais (ADC) amewasilisha jina hilo kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, Bungeni, Dodoma ambaye kwa ajili ya kuthibitishwa na Bunge.