NEWS

17 Aprili 2021

Rais Samia Suluhu Hassan Atunuku Kamisheni Kwa Maafisa Wanafunzi Wa Jeshi La Wananchi Wa Tanzania (Jwtz) Katika Viwanja Vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Maalumu lililoandaliwa na Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Aprili, 2021