NEWS

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Big Brother 2013. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Big Brother 2013. Onyesha machapisho yote

26 Agosti 2013

DILISH AIBUKA MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2013

06:47
Hatimaye mwakilishi kutoka Namibia Dilish ameibuka kuwa mshindi wa Big Brother Africa 2013......Hongera sana Dilish Mshiriki kutoka Naibia ...
Read More

25 Agosti 2013

Picha: Julio (BBA Startame) na Allen Mushi wa Times FM kuhudhuria fainali za BBA Leo

04:46
Mshiriki wa mwaka jana wa BBA Stargame, Julio na Allen Mushi wa Times FM wamechaguliwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye fainali za Big Br...
Read More

24 Agosti 2013

BBA The Chase: Haya Ndiyo Majina ya wasanii watakaolipamba jukwaa la ‘The Chase’ siku ya fainali

05:28
Leo ni siku ya 90 katika kalenda ya BBA, zimesalia siku mbili tu kabla ya msimu wa nane wa Big Brother Africa ‘The Chase’ kufikia ukingoni n...
Read More

20 Agosti 2013

BBA: Bimp na Angelo waiaga The Chase,Nigeria yafanikiwa kuingia Top 5

01:09
Baada ya Bimp na Angelo kutolewa jana (August 18) hatimaye sasa The Chase imefikia hatua ambayo mtu unaweza kucheza karata zako na kubashiri...
Read More

13 Agosti 2013

12 Agosti 2013

BBA Updates: Washiriki wapigana vikumbo kuingia Top 5, Elikem apigiwa kura nyingi za kuingia dangerzone!

19:35
Reality Show ya Big Brother Africa msimu wa nane uliopewa jina la ‘The Chase’ sasa ndio uko katika hatua ngumu zaidi kwa washiriki wote saba...
Read More

BBA Updates: Tanzania yaiaga rasmi ‘The Chase’ baada ya safari ya Feza kufikia ukingoni

19:20
Hatimaye safari ya Tanzania katika Big Brother ‘The Chase’ imefikia tamati jana (August 11) baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amesalia Feza ...
Read More

5 Agosti 2013

From BBA:wa Nigeria awasuprise washiriki kwa kuwatembelea mjengoni leo

18:29
Washiriki wa ‘The Chase’ mchana huu wamepata ugeni wa kushtukiza wa rapper Ice Prince kutoka Nigeria ambaye ametia timu katika jumba la Big ...
Read More

From BBA: Feza Aonekana Akiwa Mnyonge Je Ataweza Survive Pasipo Oneal...

18:21
Inaoenekana upweke mkali unamuandama Feza Kessy baada ya mpenzi wake Oneal kutoka jana kwenye shindano la Big Brother Africa, The Chase. Asu...
Read More

Mpenzi wa Selly ataka Nando akamatwe na afungwe kwa kosa la kutishia kuua!

08:00
Ilianzia ndani ya jumba la Biggie na sasa inaendelea nje ya mjengo wa Big Brother, ni kati ya aliyekuwa mshiriki wa Tanzania katika ‘The Cha...
Read More

25 Julai 2013

BBA The Chase: Penzi la Feza Kessy na Oneal lazidi kushamiri

05:30
Kama ulikuwa unahisi kuwa uhusiano wa Feza na Oneal unaishiwa fleva, basi hauko sahihi. Wandani hawa wameendelea kuiimarisha ngome yao ya ma...
Read More

23 Julai 2013

20 Julai 2013

17 Julai 2013

The Chase: Nando asimulia story ya kuhuzunisha kuhusu familia yake

02:38
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Ammy Nando ameamua kusimulia mbele ya washiriki wengine masuala mazito na magu...
Read More

16 Julai 2013

BBA The Chase: Watano waingia dangerzone wiki hii! Mungu Mkubwa Nando na Feza Wako Salama

11:46
Hii ni wiki ya nane ya reality show ya Big Brother ‘The Chase’ na dalili bado ni nzuri kwa washiriki wa Tanzania Nando pamoja na Feza Kessy ...
Read More