Makamu wa rais Misri, Mohamed El Baradei amejiuzulu kutoka kwenye serikali ya mpito.Ghasia zinaelezwa kuendelea kutokea kwenye mitaa mbalimbali ya miji nchini humo.