Baada ya kushirikiana kwenye wimbo wa NEXT TO YOU, Justine Bieber aamua kukshirikisha mshkaji wake Chris Brow kwenye sanaa ya uchoraji Graffiti. Chris Brown Alishirikishwa na Justine Bieber kuchora nusu ya ubao wa pipe kwa ajili ya kuchezea mchezo wa Skateboard na marafiki wawili hao waliamua kupoz na kupiga picha juu ya pipe hio waliochora pamoja na kupost picha hio Instagram
9 Septemba 2013
Home
Habari za Mastaa
Justin Bieber
Kutoka Kwa Obama: Justine Bieber amshirikisha Chris Brown kuchora Graffiti
Kutoka Kwa Obama: Justine Bieber amshirikisha Chris Brown kuchora Graffiti
Tags
# Habari za Mastaa
# Justin Bieber
About Mrs News Tanzania
Justin Bieber
Category:
Habari za Mastaa,
Justin Bieber