Jumapili ya tarehe 13/09 ndani ya NECTAR lounge, 7926 Georgia Avenue, Silver spring MD kutakua na Audition kwa ajili ya Kumtafuta Miss Tanzania USA Beauty Pageant.