Hii ni Party ya AY kuelekea kwenye tuzo za CHOAMVA 2013, inatarajiwa kufanyika Jumapili ya November 17 kwenye ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam.Fid Q ,Ommy Dimpoz,Stereo na wakali wengine kibao