Justin Bieber na R.Kelly
“I just did a song [with him], [Justin] just called me to do a song and it’s hot. He wanted to go and do some R&B stuff so we got together and did that.” R.Kelly ameiambia VIBE wiki hii wakati wa party binafsi ya kusikiliza albam yake mpya ‘Black Panties’ inayotarajiwa kutoka (December 10) mwaka huu.
Kupitia twitter Justin Bieber pia amethibisha kuwa wimbo huo alioshirikiana na R.Kelly utatoka mapema wiki ijayo.
