Boss wa MayBach Music Rick Ross, anatarajiwa kuungana na R.Kelly na Lady Gaga katika remix hiyo. Gaga amethibitisha kupitia twitter.
Lady Gaga na R.Kelly ni miongoni mwa mastaa waliowasuprise watu kwa show ya kiubunifu zaidi, wakati wa tuzo za Marekani (AMA 2013) zilizofanyika wiki iliyopita.
Lady Gaga na R.Kelly ni miongoni mwa mastaa waliowasuprise watu kwa show ya kiubunifu zaidi, wakati wa tuzo za Marekani (AMA 2013) zilizofanyika wiki iliyopita.
Do What U Want the Remix feat. RICK ROSS. It's happening.
— Lady Gaga (@ladygaga) November 29, 2013