Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego Anaelekea Kuufunga mwaka vibaya baada ya usiku wa kuamkia leo kuibiwa vifaa vya gari lake aina ya Toyota Verossa lenye namba T 418 CGK vyenye thamani ya shilingi milioni 4 lililokuwa limepaki nyumbani kwake.
20 Desemba 2013
Home
Habari za Mastaa
Ney wa Mitego
Ney wa Mitego Aelekea Kuufunga Mwaka Vibay, Ni Baada ya Kuibiwa Vifaa vya Gari Yake Verossa
Ney wa Mitego Aelekea Kuufunga Mwaka Vibay, Ni Baada ya Kuibiwa Vifaa vya Gari Yake Verossa
Tags
# Habari za Mastaa
# Ney wa Mitego
About Mrs News Tanzania
Ney wa Mitego
Category:
Habari za Mastaa,
Ney wa Mitego