Hit Maker Uyo wa My Number 1, Diamond kwanza aliingia ukumbini kwa mbwembwe zote kama jinsi ilivyokawaida yake ,Tazama Picha hizi hapa chini Kujua nini alikifanya Diamond siku hiyo.
Shadee wa Clouds Fm alikuwa host
Mashabiki Wakisubiri Tamasha Kuanza kwa Hamu
Diamond Akiwasili Ukumbini 'Leaders Club'
Diamond Akisalimiana na Mashabiki wake Akiwa anaingia Ukumbini
Shoo Ikaanza Burudani mwanzo mwisho mpak Giza Likaingia
Watoto wakifurahi
Daimond Plutnumz akifanya yake
Watoto wakishangilia
Show Ikapamba Moto
Watoto wakifurahi
Akicheza pamoja na Dancers wake