Kama wewe ni shabiki wa Shilole na unamfuata Instagram, sina shaka umeshakutana na picha ya hivi karibuni akiwa katika mazingira ya ughaibuni.
Hizi Ndizo Picha Baadhi walizopiga kipindi wakiwa Nchini Uingereza
Hii Ndio Flayers Inayoongelea Shoo Yao ya Nchini Uingerza



