NEWS

20 Desemba 2013

Redsan na Ali Kiba warekodi wimbo pamoja kwenye studio za Homeboyz

Ali Kiba na Redsan wameingia studio kupika wimbo pamoja.Wakali hao wamerekodi wimbo wao kwenye studio za Homeboyz Records jijini Nairobi Kenya. Producer wa wimbo huo, Sappy ameshare picha akiwa na mastaa hao.

“New single from Alikiba & Redsan coming soon…Maaaade tune…produced by Me,” ameandika Sappy.

Redsan, Sappy na Ali Kiba