Jambo hili alikuwa tofauti sana kwani Wachezaji wa Manchester United wametembelea katika hospitali mbili jijini Manchester ambazo ni Royal Manchester Children’s Hospital na The Christie. Wachezaji hao ni pamoja na Michael Carrick, Marouane Fellaini na Adnan Januzaj, De Gea, Ashley Young,Valencia,Fletcher na Javier Hernandez. Katika ziara hiyo wachezaji hao waliwatakia watoto heri ya Christmas na kuwapa zawadi.
David de Gea (wa pili kushoto), Luis Antonio Valencia (nyuma) na Michael Carrick (kulia) akiwa na mtoto
Fletcher na Chicharito wakiwa na mtoto waliyempa zawadi ya Christmas
Marouane Fellaini (kushoto) na Adnan Januzaj wakikabidhi zawadi kwa watoto
Mtoto ambaye ni shabiki mkubwa wa United akionyesha furaha yake kwa kutembelewa na Javier Hernandez na Darren Fletcher





