Kutoka Kwanza Records, chini ya usimamizi wa produza Vennt Skillz, Joh Maker ameachia mdundo wake unaokwenda kwa jina “Wanasemaje” aliyompa shavu hit maker wa Wazo la Leo, Stamina.Hii hapa…