NEWS

18 Januari 2014

Picha: Mtazame picha za mke wa raisi wa marekani Michelle Obama katika Muonekano wa kupendeza zaidi

Leo tunakuletea picha za first lady wa marekani Michelle Obama katika picha tofauti akiwa sehemu tofauti, na katika fashion na style tofauti.kwa wale wanaopenda fashion na style ni vyema ukachukua muda wako wa kutazama picha hizi ili uweze kujua 'what first lady wear, her air style,clothing fashion na vingine vingi.

Picha ziko hapa chini enjoy it...