NEWS

18 Januari 2014

New Music :Grace Matata – Uwe Wangu

Baada ya kusubiri kwa takribani wiki kadhaa, hatimaye siku imewadia. Ni Leo, Ijumaa ya Januari 17. Dakika chache zilizopita, Grace Matata ameachia ngoma yake iitwayo “Uwe Wangu” iliyokuwa ikisubriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki wake .Ni track yenye mahadhi mazuri ya mapenzi…

Grace anaendelea kufanya vizuri baada ya vibao vyake kama “Free Soul” na “Wimbo Wangu”kuendelea kutikisa chati mbalimbali za muziki wa kizazi kipya..

Isikilize hapa…Enjoy It