NEWS

16 Januari 2014

Sad News; Rich Mavoko Ampoteza Baba yake Mzazi

Msanii wa Bongoflava anayejulikana kama Rich Mavoko anayetamba na wimbo wake wa 'Roho yangu' yupo katika wakati mgumu baada ya kumpoteza Baba yake mzazi.

Taarifa hizo za msiba aizitoa mwenyewe Rich Mavoko Kupitia Mtandao wa Instagram..



Rich mavoko mwenyewe alipost instagram na kuandika caption inayosema “R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” post iliyowekwa na picha ya giza. 


Bongo61 Tunatoa pole kwa Rich Mavoko na Familia yake, 'Bwana alitoa na Bwana Ametwaa'. Amen