NEWS

16 Januari 2014

New Music: Peter Msechu - Fire


Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Peter Msechu unaoitwaa 'FIRE' wimbo huu umefanywa ndani ya studio za sorround records chini ya producer Emma The Boy..

Katika wimo huu Peter Msechu anaongelea mapenzi,  kama unatka kusikia kwa nini ameamuakutumia idea ya fire wakati ameimba mapenzi ..jibu lako liko hapa pindi utakousikiliza wimbo huu

Download na Sikiliza hapa chini Enjoy it..