“Tusubiri madai ya kesi ya msingi, hili la leo limepita salama,madai kwenye kesi ya msingi ni kwamba cha kwanza kamati kuu kupitia katibu mkuu wa chama impatie (Zitto )nyaraka ambazo zinatoa sababu na nyenendo wa shauri lake ambalo lilitumika kumvua nyadhifa zake za uongozi na pia kuagiza kamati kuu imchukulie hatua zaidi za kinidhamu kuhusiana na uanachama wake.
Baada ya kupatiwa nyaraka hizo ina maana atakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwenye baraza kuu ambapo litamsikiliza kuona kama uamuzi wa tarehe 22 November 2013 wa kamati kuu ulikuwa sahihi. Hayo ndio madai ya msingi ambayo yapo kwenye shauri la msingi. Kwahiyo tarehe 13 April 2013 kesi itasikilizwa tena,” alisema Msando.
Mwanasheria wa Chadema Tundu Lissu akisalimiana na Zitto Kabwe baada kukubaliwa ombi lake na mahakamaZitto akitoka kwa msaada wa mabaunsa wake katika chumba cha mahakama kuu baada ya uamuzi huo wa Mahakama kuu leo jioni.
Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono Zitto wakiwa wamekaa chini kutii amri ya polisi baada ya matokeo ya kesi kutangazwa upende wao ukiwa aumeibuka kidedea.
Wafuasi wa Chadema wanaounga mkono uongozi wa chama hicho kutaka Zitto atimuliwe uanachama, wakiwa wameduwaa nje ya mahakama baada ya uamuzi wa Jaji, John
Mmoja wa wafuasi wa Chadema upande wa wanaounga mkono uongozi akiwa amejeruhiwa kichwani baada ya kupigwa jiwe.
Mbwa mkali wa polisi akiwa tayari kwa lolote.
Wafuasi wa Chadema wakivurumishana mawe Zitto alipowasili mahakamani
Tazama Picha hizi Chini Jinsi gani hali ilivyokuwa Mahakamani