Ni matusi ya kila aina aliyoyapata kutoka kwa mpenzi wake, Starlisha Tillya aka ‘Mdoli wa Kichaga’ (Chagga Barbie), Prezzo aliandika: President” is like a drug (highly addictive) he’s the best up until the drugs runs out, withdrawal symptoms can be seen from miles.”
“Let De Movie Continue #MapenziniUpofu #HakunaNgechuBilaChaggabarbie #MunguAnajuaKwanini #SihitajiyeyoteZaidiYake #NawaombaMtuombee #HakunaMahusianoRahisiDuniani NimeaminiUkimpendamtuhataitokeeniniHuwezikuukimbiaMoyo. Nawatakia Jumapili Yenye Amani, Furaha, Upendo, Kusamehe na Mumtangulize Mungu Jamani Ndio Kila Kitu. Kwa Neema Yake Kanipaujasiri wakuwaeleza haya Leo,” aliandika kwenye picha hiyo.
na Prezzo hajasema lolote.

