Ile Timu ya ITV News ikiwa kwenye kibanda chenye wafanyabiashara wa pembe za ndovu ambao kwa nje wanaonekana wakifanya biashara ya vinyago na bidhaa zingine za mikono
Kamera zilizokuwa zimefichwa ziliwarekodi wauzaji hao wakiahidi kuisaidia timu hiyo kusafirisha pembe hizo kwenda nchini China.
Katika video hiyo, mfanyabiashara anasema kila kilo moja ya pembe ya ndovu inauzwa $700 ambazo ni takriban shilingi 112,700 za Tanzania.
.
Tazama Full Video hapa chini....


