Huu ndio ule wimbo uliowajumuisha wasanii 20 kutoka Afrika, Tanzania ikiwa imewakilishwa na Diamond Platnumz pamoja na Ay wimbo unaitwa Cocoa na Chocolate.Usikilize na kuudownload hapa chini.. Coco na Chocolate!