
Wakati wanarudi asubuhi ya jana Bus la timu yao ambayo lilikuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada ya Mabus yaliyokua yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba njia na kusababisha kutumbukia kwenye mtaro.
Tazama picha hapa chini..!




