NEWS

26 Machi 2014

Picha: Kim kardashian avaa kivazi kilichomtega kila mtu

Baada ya kutokea kwenye kava la jarida la Vogue, Kanye West na Kim Kardashian waliamua kumshukuru mhariri mkuu wa jarida hilo, Anna Wintour ambaye ameshambuliwa kwa kuwaweka kwenye kava hilo.

Wawili hao waliungana na mhariri huyo kwaajili ya dinner na Kim aliamua kuonesha vya ndani ya nguo zake kwa kigauni hiki.

Tazama picha za kivazi alichovaa Kim Kardashian akiwa na mume wake mtarajiwa Kanye West..!