Tazama video mpya kutoka kwa Msanii Mkongwe aitwaye Mike T, Ametoa video yake ya wimbo wake mpya unaoitwa i wanna know, Itazame hapa chini kwani video hii imeongozwa na yeye mwenyeweMike T - I Wanna Know