Jay Z leo atakuwa mpambe wa Kanye West kwenye harusi yake na Kim Kardashian japo si kwa roho moja. Imedaiwa kuwa Jay anahisi harusi ya Kim Kardashian na Kanye West imepaniwa mno.
Kanye na Kim leo watafunga ndoa huko Florence nchini Italia. Kwa mujibu wa mtandao wa Radar Online, Jay anawapenda wawili hao lakini amekuwa akiwasema vibaya nyuma ya migongo yao.
25 Mei 2014
Home
Habari za Mastaa
Jay Z
Kiunyonge: Jay Z kuwa mpambe wa Kanye West kwenye harusi yake na Kim leo
Kiunyonge: Jay Z kuwa mpambe wa Kanye West kwenye harusi yake na Kim leo
Tags
# Habari za Mastaa
# Jay Z
About Mrs News Tanzania
Jay Z
Category:
Habari za Mastaa,
Jay Z
