Meneja wa Diamond, Babu Tate alinukuliwa na Millardayo.com hivi karibuni kuwa Diamond atasikika tena kwenye collabo nyingine na Davido itakayowahusisha pia Tiwa Savage wa Nigeria na Mafikizolo wa Afrika Kusini ikiwa ni kampeni ya kituo kimoja kikubwa cha TV Afrika.
Tazama Picha...





