NEWS

1 Mei 2014

Video: Sauti Sol - Nishike

Tazama video mpya ya kundi la Sauti Sol kutoka Kenya ya wimbo uitwao "ishike" Video imeongozwa na mmoja wa madirector wa Kenya wanaofanya vizuri sana kwa sasa Enos Olik.