Afande Selle atoa wimbo mpya ‘Miaka Kumi’, ambao unaendana sambamba na show yake ya kutimiza miaka kumi ya ufalme itayofanyika (juni 27) mkoani Morogoro, Silikilza wimbo huu na kuudownload hapa