NEWS

23 Juni 2014

Picha: Amini apata jiko , ni Namcy Vana wa Kantangaze

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka THT, Amini Mwinyimkuu jana June 22 ameukacha ukapela kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir maarufu kama Namcy Vana aliyeimba ‘Kantangaze’.



Tazama picha hapa...






























Amini akiwa na mkewe
Ndoa hiyo imefanyika nyumbani kwa Namcy, Magomeni Dar es Salaam.


Pongezi nyingi kwa Amin na mkewe