NEWS

30 Agosti 2014

Hemedy 'Nimechafua Sana More than Sana sasa Nataka Kutulia na Kuoa, Huyu Ndo Mchumbwa Wangu'

Muna akiwa kwenye pozi tata, Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more than sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november


chanzo:udaku