NEWS

19 Agosti 2014

Wimbo Mpya: Chidi Benz feat Diamond & AY – Mpaka Kuchee

Ngoma mpya kutoka kwa Chidi Benz akiwashirikisha Diamond na AY. Ngoma inaitwa “Mpaka Kuchee” iliyorekodiwa kwenye studio za 4:12 chini ya watayarishaji, Tudd Thomas na Dully Sykes.