NEWS

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Chid Beenz. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Chid Beenz. Onyesha machapisho yote

19 Agosti 2014

Wimbo Mpya: Chidi Benz feat Diamond & AY – Mpaka Kuchee

18:48
Ngoma mpya kutoka kwa Chidi Benz akiwashirikisha Diamond na AY. Ngoma inaitwa “Mpaka Kuchee” iliyorekodiwa kwenye studio za 4:12 chini ya wa...
Read More

18 Juni 2014

Picha:Ujio mpya wa Chid Benz katika Gemu, afanya collabo na Diamond Platnumz, Ay

09:15
Kwa muda mrefu mkali wa Ilala, Chid Benz aka Chuma amekuwa kimya kwenye game na mwaka huu ameamua kurudi tena na ujio mpya unaowakutanisha w...
Read More

25 Aprili 2014

Video: Msichana aliyepigwa na Chidi Benz alijeruhiwa vibaya usoni na kichwani, mtazame hapa

07:57
Msanii wa Miondoko ya Hip Hop Chidi Benz alimjeruhi vibaya msichana anayedaiwa kuwa mpenzi wake wa zamani, Mwanaisha Kiboye. Kwa mujibu wa m...
Read More

29 Novemba 2013

CHIDI BENZ AMEVURUGWA KWELI..!! SOMA ALICHOKIONGEA KATIKA HII POST YAKE

10:15
Hakuna tena kitu kizuri kwa Chidi Benz siku hizi. Kwa muda mrefu rapper huyo ambaye hivi karibuni ametokea kukubalika sana nchini Kenya  (th...
Read More

14 Agosti 2013

New Song : Chid Beenz - Nakaza Roho

15:16
Baada ya Kukaa Kimya kwa muda mrefu na kukumbwa na Majanga Mengi....  cHID bEENZ AACHIA nGOMA mPYA Inaitwa " Nakaza Roho" Pata Mud...
Read More

Chidi Benz akiri alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi, ametumia zaidi ya tsh mil. 15 kutibiwa Nairobi

14:12
Rapper Chidi Benz leo kwa mdomo wake mwenyewe amekiri kuwa alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi. Chidi amefunguka leo kwenye k...
Read More

18 Julai 2013

Mama Baghdad amuombea msamaha mwanae kwa Chidi Benz, aomba akutane naye pamoja na Nay wa Mitego

12:30
Baada ya jana Chidi Benz kuweka wazi kuwa hategemei kumsamehe Baghdad kwa ‘blunder’ aliyoifanya ya kuwashirikisha yeye na Nay wa Mitego bila...
Read More

5 Julai 2013

RAPPER CHIDI BEENZ YUKO MBIONI KUACHIA NGOMA NYINGINE …KALI.....

17:37
CEO  wa  LaFamilia  kutoka  ILALA , rapper  Chidi Beenz  anatarajia kuachia ngoma yake nyingine hivi karibuni …  Chidi  anaetamba sana na go...
Read More