NEWS

9 Septemba 2014

Breaking News:Safaru Mpya ya Shilingi Mia Tano Yatolewa na BOT

SARAFU MPYA YATOLEWA: BoT leo imetoa sarafu mpya ya Sh500 itakayoanza kutumika rasmi Oktoba 2014, noti za Sh500 zitatumika hadi mzunguko wake utakapoisha.