NEWS

9 Septemba 2014

Picha: Lulu katika muonekano huu mpya wa heshima zaidi, anafaa kuwa wife au! 'Pata Michapo zaidi Mdau'

Lulu Michael Amekuwa Katika Midomo ya Watu kwa Muda mrefu hasa kutokana na mavazi anayovaa kuwa ya kutega wanaume, Tukio la Mwisho lilikuwa la hivi karibuni kwenye Fainali za TMT ambapo alivaa kivazi cha Uchokozi na kuwa gumzo mitandaoni..Sasa Hivi Juzi Staa huyo wa Bongo Movies Ameamua Kushare na Nipemichapo.com 


Picha hizo hapo chini akiwa katika Mavazi ya Kiutu uzima akionesha sasa amekuwa mavazi ya mitego sasa basi....Unamuonaje?