NEWS

19 Septemba 2014

Tazama picha za Familia ya Inspector Horoon bada ya Miaka 10 ya Ndoa

Inawezekana ukawa ulishawai kusikia jina la Inspector Haroon kitambo katika gemu ya Bongoflava, kwani hawa ni moja ya wasanii wakongwe ambaye aliamua kuachana na ubachela mwaka 2004 na sasa ndoa yake imetimiza miaka 10,

Mr and Mrs Haroun Kuhena

 Pata kuziona picha za familia yake hapa akiwa pamoja na mke wake na watoto wake wawili

 Walipofunga Ndoa mwaka 2004

 Mke wa Insppector Haroun akiwa na watoto wake Nassir na Shadya

 Mke wa Insppector Haroun akiwa na watoto wake Nassir na Shadya

 Nassir 
Shadya
 Watoto wa Inspector Haroun ,Nassir na Shadya
 Watoto wa Inspector Haroun ,Nassir na Shadya