NEWS

23 Septemba 2014

Tazma picha za Uzinduzi wa Bendi ya 'YaMoto' uliofanyika Dar Live






Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi rasmi wa Yamoto Band.

Yamoto Band wakilishambulia jukwaa la Dar Live wakati wa uzinduzi huo.


Mkubwa Fella akiwashukuru mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.