Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif akiwasili katika Mtaa wa Buguruni akipokewa na Naibu Meya wa Jiji Omary Kumbilamoto
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na wakazi wa Buguruni aliojumuika nao pamoja katika futari na swala
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika ibada iliyofanyika katika Baraza la Mtendeni 2 Buguruni
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Wananchi wa Buguruni ambao alijumika nao katika futari ya pamoja
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na viongozi wa juu wa Chama mara baada ya kupata futari