NEWS

21 Februari 2018

BENPOL AFUNGUKA KUNANGWA NYWELE ZAKE

BAADA ya kunangwa na mashabiki zake mitandaoni kwamba rangi ya kijani aliyoweka kwenye nywele zake haijampendeza, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol’ amefunguka kuwa hiyo ni staili mpya aliyoichagua.

 

Akizungumza na Risasi Vibes, Ben Pol alisema watu wanaongea sana kuhusu nywele zake na kuifanya kuwa ishu kubwa wakihisi labda kuna kitu nyuma ya pazia lakini ukweli ni kwamba hiyo ni fasheni mpya aliyoichagua kwa sasa na mwenyewe ameiridhia hivyo hajali maneno ya watu wanaomwambia haijampendeza.

 

“Binadamu kila mtu anaweza kuongea lake pale anapojisikia huwezi kuwazuia, mwenyewe nimeridhika na hii staili sasa sielewi kwa nini watu wananijadi  

Mayasa Mariwata

The post BENPOL AFUNGUKA KUNANGWA NYWELE ZAKE appeared first on Global Publishers.